Tupo Nawe

Siku ya wanawake duniani yawakutanisha CCM na CHADEMA Mji Geita, ni baada ya Polisi kuingilia kati

Baada ya Jeshi la Polisi Wilaya ya Geita kuzuia wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya maadhimisho ya siku ya mwanamke duniani, wanawake hao wamekutana na wenzao wa CCM kusherehekea sikukuu hiyo iliyoandaliwa na Halmashauri ya Mji Geita.

Kwa mujibu wa Azam Tv, barua iliyotolewa na Jeshi la Polisi Geita mbali na kuzuia maadhimisho hayo limetaka wanawake wote kuungana na wenzao katika maeneo ya Bugulugu na eneo la Soko Jipya.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW