Michezo

Silaha 11 za Yanga SC vs Stand United zatangazwa, Yondani apumzishwa kuisubiri Simba SC

Klabu ya Yanga imetangaza kikosi chake kitakachooanzisha mashambulizi dhidi ya Stand United leo kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga majira ya saa 10:00 alasiri.

Kwenye mchezo huo wa mzunguuko wa 7 wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara, Kocha wa Yanga, George Lwandamina amewapumzisha wachezaji tegemezi wa Klabu hiyo Kelvin Yondani na Juma Abdul kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Simba SC wikiendi ijayo ya Tarehe 28 oktoba, 2017. Hiki ndio kikosi kamili cha Yanga hapa chini

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents