Michezo

Simba atatutia aibu- Shabiki wa Yanga alipa ushauri benchi la ufundi la Simba (+Video)

Mengi yamezungumzwa ndani ya B5Sports lakini tukafikia hapa kwa Morrison, dakika 439 alizocheza kwenye #VPL msimu huu 2020/2021 amefunga goli moja (1) pekee na assist mbili (2) ndani ya michezo nane aliyoshuka viwanjani. Magoli 7 ya Simba dhidi ya Coast Union, hat-trick ya John Bocco na mechi ijayo ya Azam FC Vs Yanga SC ni miongoni mambo yaliyozungumzwa kwa kina, Ingia You Tube kisha andika Bongofive kufuatilia Full Video ya mahojiano hayo ya B5Sports.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents