Bongo Movie

Simba Bongo Movie yaonyesha ubabe

Simba_Movie_ushindi

 

Wasanii wa Bongo Movie, ijumaa hii walikuwa kwenye mazoezi ya timu yao kwaajili ya kujiandaa na kandanda ambalo watakuja kucheza na Wabunge siku ya jumamosi ijayo, huko Dodoma.

 


Katika mechi hiyo wadau wa Bongo MovieMama Rupia, na Mussa ambao walitoa mchango wao na kufikia zaidi ya milioni2,papo kwa  hapo kwaajili ya maandalizi mazima ya safari hiyo.

 

Katika mechi hiyo, timu ambayo wakereketwa wa Simba yaani Simba Bongo Movie, iliibuka na mabao mawili yaliyoingizwa nyavuni na Hassabi Kiduku, na bao la kufutia machozi lilifungwa na Vicent Kigosi maarufu kama Ray kwa mkwaju wa penati.

 

Simba_Movie__shoga

Tino akiwa na wachezaji wenzake wakipata hutuba kidogo, kabla ya kurudi tena uwanjani kwa kipindi cha pili

Simba_Movie_Stive

Stive Nyerere akihesabu, dola ambazo zinathambani ya fedha za kitanzania milioni 1.5, ambayo ilitolewa na mdau wa Bongo Movie, Mussa.

Simba_Movie_kombe

Mama Rupia, akikabidhi kombe kwa timu ya kapteni wa  Simba Bongo Movie, ambayo iliinyuka Yanga Bongo Movie 2-1

Simba_Movie_Jb

Viongozi wa Simba Bongo Movie, William Mtitu na Jb

Simba_movie_Auntiel

Huyu anaitwa Auntiel Ezikiel, akiwa haamini kama wamefunga

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents