DStv Inogilee!

Video: Simba hali yake ni mahututi, amepigwa goli 10 kwa 1, atapigwa na Yanga 5 – RC Ally Hapi

Sikia tambo za Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela akipingana na bosi wake Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi kuelekea mtanange wa #WataniWaJadi Yanga na Simba Jumamosi wiki hii. 

"Simba itafungwa si chini ya magoli matano". ..Sikia tambo za Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela akipingana na bosi wake Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi kuelekea mtanange wa #WataniWaJadi Yanga na Simba Jumamosi wiki hii. ..Je, wewe uko upande wa DC Kasesela au RC Hapi?

Posted by Azam TV on Thursday, February 14, 2019

Source: Azam TV

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW