Michezo

Simba kutupa karata yake ya kwanza KAGAME Cup leo

Mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba SC inatarajia kutupa karata yake ya kwanza hii leo kwenye michuano ya KAGAME pale itakapo ikabili klabu ya Dakadaha majira ya saa 8 mchana kwenye dimba la Uwanja wa Taifa.

Ratiba kamili ya Simba kwenye michuano hiyo ambayo imeanza kutimua vumbi hapo jana siku ya Ijumaa ya Juni 29.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents