Michezo

Simba na Kagera Sugar waweka hadharani vikosi vyao vitakavyochuana leo

Mabingwa wapya wa kombe la ligi kuu Tanzania Bara, Simba SC, na klabu ya Mtibwa Sugar wameweka hadharani majina ya wachezaji wao ambao watacheza kwenye mechi yao ya leo (Jumamosi).

Mchezo huo ambao utapigwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam unatarajiwa kuhudhuriwa na Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ambaye ndio atawakabidhi Simba kombe lao la ubingwa wa ligi hiyo.

Tazama majina ya achezaji wote hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents