Michezo

Simba watangaza msemo mwingine kuelekea siku ya Simba day, Manara aikejeli Yanga “Wanaiga sana, Sasa hivi Iga Ufe” – Video

Simba watangaza msemo mwingine kuelekea siku ya Simba day, Manara aikejeli Yanga "Wanaiga sana, Sasa hivi Iga Ufe" - Video

Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba, Crescentius Magori amefungka mengi sana kuelekea siku ya Simbaday huku akiitangaza timu itakayocheza na simba siku hiyo pia akitangaza ujio wa Jezi zao mpaya, Mbali na hilo kupitia msemaji wa klabu hiyo Haji Manara wametangaza msemo wao mpya kuelekea siku hiyo.

Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba, Crescentius Magori Alikuwa akiongea.

Hapa Haji Manara akiutangaza msemo mpya wa Simba kuelekea Simbaday.

 

 

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents