Michezo

Simba yang’ara tuzo za ligi kuu msimu 2019/20, Chama mchezaji bora (+Video)

Mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba SC imefanikiwa kutawala tuzo za ligi kuu msimu huu wa mwaka 2019/20 kwa kuondoka na tuzo nyingi na muhimu zikiwemo mchezaji bora, mfungaji bora, golikipa bora, kocha bora na nyingine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents