Simba yapangwa kundi la kifo Champions League, wapo Al Ahly, Al- Merrikh, Namungo angalau

Mabingwa wa nchi #simbasc wamepangwa kundi A katika Michuano ya Klabu Bingwa Afrika

Kundi A

Simba SC Tanzania
Al – Merrikh Sudan
AS Vita Club DRC
Al Ahly SC Misri

Yapi maoni yako baada ya kuona group hili ambalo lina wawakilishi wa Tanzania #simbasc

Kombe la Shirikisho Afrika.. Primero De Agosto (Angola) vs Namungo FC (Tanzania).  Mechi kuchezwa kati ya February 12/13.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAf)

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW