Habari

Simbachawene amrithi Kangi Lugola Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi (+Video)

Rais Dkt John Magufuli amemteua Mhe. George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akichukuwa nafasi ya Kangi Lugola ambaye uteuzi wake umetenguliwa kuanzia leo tarehe 23/01/2020 huku Mhe. Mussa Azzan Zungu kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) akichukua nafasi ya Mhe. Simbachawene.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents