Michezo

Simon Msuva atua Dar na mpango mkakati

Kiungo mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Difaa El Jadidi ya nchini Morocco, Simon Msuva ametua nchini kwa mapunziko ya muda mfupi huku akiwa na hari na hamasa kubwa ya kuhakikisha anacheza soka lakulipwa barani Ulaya.

Msuva ambaye awali alikuwa akiitumikia klabu ya Yanga kabla ya kusajiliwa nchini Morocco kwa kulipwa mshahara mnono unaokadiriwa dola 4,000 (takribani Sh milioni 9) amesema kuwa bado lengo lake kubwa ni kuhakikisha anacheza soka la kulipwa barani Ulaya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents