Technology

Simu ya kwanza yenye kamera kubwa zaidi ya mbele duniani, Yazinduliwa Tanzania (+Video)

Baada ya Infinix kuliteka soko na toleo pendwa la Infinix S4, Infinix imezindua toleo jipya la Infinix S5. Hii inakuwa ndio simu kubwa zaidi kwenye matoleo ya S Series kwa sasa ambapo imekuja ikiwa na Infinity-O Display na kamera ya mbele yenye ukubwa wa Megapixel 32.

Simu hiyo pia imekuja na kamera 4 za nyuma zenye uwezo wa kupiga picha katika mazingira yoyote yale yenye mwanga hafifu.

Ujio wa Infinix s5 umeambatana na msimu wa sikukuu za Chrismas na mwaka mpya, Hivyo Infinix itasherehekea msimu huu kwa kuzindua rasmi promosheni itakayoanza tarehe 25/11/2019 na zawadi mbalimbalikama vile Vacuum Cleaner, Deep Flyer na Subwoofer Radio.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents