Michezo

Sina shaka na nafasi yangu – Arsene Wenger

Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kuwa hanashaka na maisha yake yajayo ndani ya klabu hiyo bali anachoangazia zaidi kwa sasa ni mchezo wake ujao dhidi ya Manchester City.

Arsenal ilifungwa jumla ya mabao 3 – 0 na City mchezo uliyopita wa michuano ya Carabao Cup siku ya Jumapili na wadau wengi wa soka wakizungumzia nafasi ya Wenger katika klabu hiyo.

Lakini meneja huyo amesema kuwa “Ukweli ni kwamba swala la kuhofia nafasi yangu ndani ya timu ni wazo la mwisho, mtazamo wangu mkubwa ni kuiyandaa timu dhidi ya mchezo ujao.”

Wenger ambaye amekiongoza kikosi cha Arsenal tangu mwaka 1996 aliingia kandarasi ya miaka miwili mwishoni mwamsimu uliyopita na kusema kuwa hana mpango wa kusaini mkataba mpya baada ya huu kumalizika.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents