Michezo

Singida United Vs Mbeya City zaweka hadharani silaha za maangamizi

Klabu za Singida United na Mbeya City zimetangaza vikosi vyao vitakavyoingia Uwanjani na kukabiliana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara mzunguko wa 11.

Kikosi cha Singida United

Singida itashuka dimbani katika Uwanja wao wa Namfua Stadium huku ikiwa na kumbukumbu nzuri ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 mbele ya Lipuli FC wakati wapinzani wao Mbeya City wakipigwa kipigo cha mabao 5-0 mbele ya Yanga SC katika mchezo uliyopita.

Kikosi cha Mbeya City

Kikosi cha Singida United 25/NOVEMBER/2017*

1.Manyika Jr
2.Michel Rusheshangoga
3.Shafik Batambuze
4.Elisha Muroiwa
5.Kennedy Juma
6.Yusuph Kagoma “Mhabeshi”
7.Elinyesia Sumbi “Msingida”
8.Mudathir Yahya
9.Kigi Makasi
10.Dany Usengimana
11.Atupele Green

Wachezaji waakiba
1.Barthez
2.Miraj Adam
3.Kipaga
4.Salum Chuku
5.Msonjo
6.Nizar Khalfan

Kocha wa timu, Hans Van Der Pluijm

Mechi 5 za kumaliza Round ya 1 Ligi Kuu Tanzania Bara 2017/2018.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents