Singida United wafunguka baada ya kuona Feisal, waliomsajili asubuhi, mchana amesajiliwa na Yanga (Audio)

Baada ya mchezaji Feisal Salum kutoka JKU , leo asubuhi kutambulishwa kama ni mchezaji wa Singida United na baadaye tena siku hiyo hiyo kuonekana akitambulishwa kuwa mchezaji wa Yanga, Kauli ya msemaji wa Singida United, Clement Sanga amefunguka kulizungumzia sakata hilo huku akionyesha na yeye kushangazwa na tukio hilo la aina yake kutokea kenye medali za soka nchini Tanzania.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW