Michezo

Singida United yaanika kikosi kitakacho ikabili Simba SC

Klabu ya Singida United imetangaza kikosi chake kitakacho shuka katika Uwanja wa Uhuru hii leo kuvaana na Simba SC katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara.

Katika mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa hasa kutokana na timu zote mbili kuwa na wachezaji mahiri na huku Simba SC ikiwa inaongoza ligi kwa kuwa na alama 26 wakati Singida United ikiwa katika nafasi ya nne kwa kuwa na pointi 21.

Kikosi cha Singida United dhidi ya Simba SC leo

  1. Peter Manyika Jr
  2. Michael Rusheshangoga
  3. Shafiq Batambuze
  4. Kennedy Wilson
  5. Maliki Antiri
  6. Mudathiri Yahya
  7. Deus Kaseke
  8. Tafadzwa Kutinyu
  9. Lubinda Mundia
  10. Kambale Gentil
  11. Kigi Makasi

Waliyopo benchi ni

Ally Mustapha

Miraj Adam

Salum Chuku

Salum Kipaga

Kenny Ally

Elimwisia Sumbi

Yusuph Kagoma

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents