Michezo
Singida United yamsimamisha Kambale kwa utovu wa nidhamu
Klabu ya Singida United imeamua kumsimamisha kazi mchezaji wake wa kimataifa Congo, Kambale Salita Gentil kufuatia kufanya vitendo vya utovu wa nidhamu mara kadhaa wakati akiitumiakia timu hiyo uwanjani.