BurudaniDiamond PlatnumzPicha

Sio Rayvanny pekee yake, kuna hawa pia

Wikiendi hii msanii kutoka WCB, Rayvanny ameviteka vichwa vya habari baada ya kupost picha kupitia mtandao wa Instagram akiwa na msanii kutoka nchini Marekani, Jason Derulo.


Jason Derulo na Rayvanny

Rayvanny si msaniii pekee kufanya kitu kama hicho, kuna hawa mastaa walisha-make headline na mastaa kutoka Marekani.

Kanye West na Diamond


Wiz Khalifa na Flaviana Matata


Flaviana Matata na Kelly Rowland


Jay Z, Beyonce na Jokate

 

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents