Burudani

Sipendi mwanaume mfupi – Tausi

Msanii wa Filamu Bongo, Tausi Mdegela amesema huwa hapendi mwanaume mfupi.

Muigizaji huyo amesema hayo katika segment ya Kikaangoni, EATV. Tausi ameeleza kuwa anampenda mwanaume  ambaye ni mrefu.

“Sipendi mwanaume mfupi, mfupi wa nini saa? tukiwa wote wafupi nani atazima taa, nani atafunga mlango?.” amehoji Tausi.

“Napenda mwanaume mrefu mwembamba, sio mnene.” ameongeza.

Katika hatua nyingine amesema kuwa katika mahusiano huwa haangalii umri bali anachotaka muhusika awe na malengo ya mbeleni hata kama ni kijana wa miaka 18.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents