Burudani

Sir Tino kukamilisha albamu

Sir_Tino_face

Msamamizi wa Studio ya muziki Seductive Record, na Empety Soulz Production  Sir Tino anatarajia kukamilisha albamu yake nyenye nyimbo kumi za mapenzi hivi karibuni. Mwanamuziki huyo amesema kwenye albamu hiyo zimejaa nyimbo za kutoa elimu na kuonya kuhusiana na mapenzi .

 

Hata hivyo amesema albamu hiyo bado hajaipatia jina, ila bado nyimbo tatu aweze kuimaliza na kuacha michakato ya kuitoa. Lakini amesema kwa sasa nyimbo yake hivi sasa aliyoiachia hewani ni Niseme niseme.

Sir_Tino

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents