Tia Kitu. Pata Vituuz!

Siri yafichuka mpenzi wa msanii Whozu ambaye ni Tunda kwenda kwa msanii wa Nigeria – Video

Siri yafichuka mpenzi wa msanii Whozu ambaye ni Tunda kwenda kwa msanii wa Nigeria - Video

Msanii wa muziki kutoka marekani mwenye asili na mzaliwa wa #Nigeria @otike hivi karibuni alikuwepo Tanzania kwa muda mchache na baadae kurudi zake #Marekani , uwepo wake Tanzania ulikuwa na mambo mengi kidogo ambayo alikuwa akihisishwa nayo kama kutoka kimapenzi na mpenzi wa Msanii kutoka #Tanzania @whozu_ kwa mwanadada @cappuccino_tunda .

Picha na video zikawa zinasambaa zikionesha wapo pamoja sehemu tofauti tofauti Hasa Hasa za starehe,comments zikawa ni nyingi sana kwa @cappuccino_tunda @whozu_ na @otike mwenyewe na sintofahamu nyingi kujua nikweli #Whozu kanyang’anywa tonge mdomoni ama ni kipi kina endelea!
Lakini kwa sasa tayari imeshakuwa wazi ni kitu gani kilikuwa kinaendelea baina ya #Otike na #Tunda ambacho ni video mpya iitwayo #DearPrincess ambayo #Tunda katumika kama #VideoVixen na sio kama watu wengi walivyodhania!

 

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW