Habari

Sister Fey awekwa chini ya ulinzi wa polisi kwa amri ya Naibu Waziri Shonza (+audio)

Muigizaji wa filamu na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Faiza Omary maarufu kama Sister Fey yupo chini ya ulinzi kufuatia tabia yake ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii.

Sister Fey

Taarifa ya kuwekwa chini ya ulinzi imetolewa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza.

 

Hata hivyo,  Bongo5 imeongea na Kamanda  wa Kanda maalumu ya Dar Es Salaam, Lazaro Mambosasa kujua ukweli wa tukio hilo, naye amesema kuwa hajapata taarifa kamili ila anajua kuna kamata kamata zinaendeshwa na watu wa TCRA kuhusu makosa ya kimtandao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents