Habari

Sitikisiki, Mtaninyanyasa hapa duniani lakini sio mbinguni – RC Makonda (+VIDEO)

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mhe. Paul Makonda amesema kwa hapa duniani anaweza kunyanyaswa au kufanyiwa zengwe na binadamu wenzake lakini kwa upande wa kiroho kuna maisha mengine mbinguni ambayo hakuna binadamu wa kumnyanyasa mtu.

RC Makonda ametoa kauli hiyo wilayani Arumeru wakati akizungumza na na mamia waliojitokeza kwenye Mazishi ya RCO wa Ilala SSP Anael Mbise.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents