Burudani

Siumizwi tena na uzushi kuwa nabwia unga – Young Dee

Rapper Young Dee amesema haumizwi tena na uzushi wa watu kuwa bado anaendelea kutumia madawa ya kulevya.

11917929_885736508129172_30498441_n

Young Dee ameiambia Bongo5 kuwa, hawezi kuwazuia watu wanaoendelea kumsema anatumia madawa ya kulevya.

“Sasa hivi hainiumizi tena, hata mimi nashindwa kuelewa kwa nini watu wanaendelea kuniuliza kwanini natumia madawa. Ila mimi tayari nilishakanusha na walio wengi walielewa,” alisema Young Dee.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents