Burudani
Siwezi kuchambana na ex wangu, Diamond kwa sasa aniita aunt! – Penny
“Mimi sio girlfriend wa kuchambana na Ex wangu, Diamond kwa sasa ananiita Aunt Penny” Asema mpenzi wa zamani wa Msanii Diamond Platnumz.