Burudani

Siwezi kuwa na mwanaume mweusi- Cameron

Mcheza mieleka wa zamani kwa upande wa wanawake, Ariane Andrew, maarufu kama Cameron amesema kuwa hawezi kuingia katika mahusiano na wanaume weusi.

Cameron ambaye ana asili ya mtu mweusi ameueleza mtandao wa TMZ kuwa likija suala la kuwa katika mahusiano hawezi kuwa na mtu kwani akifanya mchanganyiko na kudate na mtu mweupe basi mtotot atatoka mzuri.

Cameron kwa wiki kadhaa alisikika akieleza kupenda wanaume weupe “White boys” alipokuwa akihojiwa katika kipindi cha Total Divas na kusema kuwa anavutiwa zaidi na wanaume hao.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents