Burudani ya Michezo Live

Skales kutoka Nigeria atoa neno baada ya kusainiwa na Konde Gang chini ya Harmonize

Baada ya taarifa za kuwa chini ya lebo ya Konde Gang ambazo zimetolewa na Harmonize, msanii kutoka Nigeria Skales kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost kwa kuushukuru uongozi mzima wa Konde Gang kwa kusema kuwa na ndio menenjimenti yake kwa upande wa Afrika mashariki.

“Hello my East African lovers, I have officially come on board with Konde Music. The team @kondegang will now stand as my management in East Africa. Holler @choppa_tz for all things Skales in East Africa.”

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW