Bongo Movie

Slim aongelea Sanaa

 

Bongo5 imefanya mahojiano na Sound Engineer Slim Hassani Mwangai kutoka Sofia Production na alisema mengi kuhusiana na kazi ya sanaa zaidi akiwalenga wasanii wa Kitanzania. Mwangai alisema mimi nafanya kazi kwa umakini na nikizingatia taaaluma yangu.

Napenda kuwashauri wasanii wa kitanzania wafanye kazi kwa kushirikiana na umaskini na siyo ujanja ujanza hii itatusaidia kupata ushindani wa soko la nje na na kufika mbali na kuweza kuitangaza nchi. Usanii ni taaluma jamani twendeni shule.

Mwangai mpaka sasa hivi amefanya kazi mbili za kuitengenezea filamu sound ikiwa ni filamu mpya Cutoff, yupo Tino, Chekibobu, Aunt Ezekiel,Rose Ndauka iliyokuwa ikilezea Tino alikuwa mtoto wa kimasikini aliyekataliwa na mke na baadae kukubaliwa, pia filamu ya Signature akiwemo JB, Aunt Ezekiel, Issa Mussa (Claud) paomoja na Jacki Wallper.

Mwangai ni sound engineer mwenye uzoefu wa kutosha kwani amewahi kufanya kazi na Sauti za Busara Zanzibar wakiwa wao ndio sound engineer wa kwanza, vilevile amefanya kazi na ZIFF (Zanzibar International Film Festival) Chief Sound, FM Academia, pamoja na Tanzania Open Film Festival.

{youtube}2Kq9u2ZUfY0{/youtube}

{youtube}PtVm1RXHtH8{/youtube}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents