Technology

Snapchat kushirikiana na wasanii kutengeneza video za muziki

Mtandao wa kijamii wa Snapchat utaanza kushirikiana na wasanii kutengeneza video za muziki wao.

snapchat-headphones

Video nne zitazinduliwa wiki hii kwenye app hiyo kwa mujibu wa New York Times.

Hatua hiyo imekuja kama nia ya Snapchat kutengeza content halisia. Muigizaji wa filamu, Sofia Vergara naye pia anatayarisha reality series kwaajili ya Snapchat.

Muziki ni miongoni mwa vitu kampuni hiyo imekuwa ikiviwekea kipaumbelea.

Unapenda mitandao ya kijamii? Nunua simu ya Tecno Boom J7 ufurahie. Follow ukurasa wa Tecno Mobile Tanzania hapa kujua zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents