Snura anatia huruma kisa Corona “Sina chakufanya, hata hamu ya mapenzi sina” Video)

Msanii wa muziki na filamu, Snura Mushi amefunguka kuzungumzia jinsi ugonjwa wa Corona ambao kwa sasa unaitesa dunia ulivyoathiri shughuli zake za kila siku. Nchini Tanzania kwasasa tumeshampoteza mtu mmoja huku watu wengine 18 wakiendelea kupatiwa matibabu katika maeneo maalum yaliyotengwa.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW