Habari

Soma barua ya mtoto wa miaka 7 Bana al-Abed kutoka Syria kwa Donald Trump

Bana al-Abed ni mtoto wakike mwenye umri wa miaka saba raia wa nchini Syria ambaye kwa sasa anaishi Uturuki. Hivi karibuni amekuwa maarufu zaidi kwenye mtandao wa Twitter kutokana na ujumbe wake wa kusikitisha kuhusiana na watu wanaopoteza maisha nchini kwao kutokana na vita zinazoendelea.

Mtoto huyo amedaiwa kumuandikia barua Rais wa Marekani ili aweze kuwasaidia watoto waliopo nchini humo kutokana na mateso ya vita wanayuoyapata na wengine kupoteza maisha. Kwa mujibu wa shirika la habari la NBC imedai kuwa barua hiyo aliiandika siku chache kabla ya kuapishwa kwa Rais huyo.

Soma hapa chini barua hiyo.

I lived in Syria my whole life before I left from besieged East Aleppo on December last year. I am part of the Syrian children who suffered from the Syrian war.

But right now, I am having a peace in my new home of Turkey. In Aleppo, I was in school but soon it was destroyed because of the bombing.

Some of my friends died. I am very sad about them and wish they were with me because we would play together by right now. I couldn’t play in Aleppo, it was the city of death.

Right now in Turkey, I can go out and enjoy. I can go to school although I didn’t yet. That is why peace is important for everyone including you.

However, millions of Syrian children are not like me right now and suffering in different parts of Syria. They are suffering because of adult people.

I know you will be the president of America, so can you please save the children and people of Syria? You must do something for the children of Syria because they are like your children and deserve peace like you.

If you promise me you will do something for the children of Syria, I am already your new friend.

I am looking forward to what you will do for the children of Syria.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents