Muziki
Song: Adam Mchomvu,Suka,Gossip Cop,Babuu wa Kitaa,Ray Mshana & Shadee – Noma Saana
Sikiliza hapa ngoma maalum kwa Serengeti Fiesta 2013. Imeshirikisha wakali wa Clouds Media Group wakiwemo Soudy Brown aka Gossip Cop, Adam Mchomvu aka Baba Jonii, Ray Mshana, Shadeee Vuvuzela, Suka na Babuu Wa Kitaa.