Muziki
Song: BadSpenderz ft Freddie FidoVato,Bounako,D Maujanja,Moplus – Wataelewa tu
Sikiliza hapa ngoma mpya ya Hip-Hop Collabo toka kwa BadSpenderz waloipa jina “Wataelewa tu” wakiwakilisha Arusha na hapa wameshirikishwa wasanii kibao akiwemo Freddie FidoVato Bounako D Maujanja na Moplus, wimbo umetayarishiwa studio za Noizmekah chini ya producer Defxtro,