Burudani
Song: Barakah Da Prince – Jichunge
Baada ya kuachia video ya wimbo wake ‘Jichunge’, Barakah Da Prince leo anaachia audio ya wimbo huo iliyotayarishwa kwenye studio za Tetemesha Records kwa ushirikiano wa Kidboy na Nusder. Mastering ya wimbo huu imefanyika nchini Uholanzi kwenye studio za Misjah – 24 Mastering. Download na kusikiliza wimbo huo hapa.