Muziki
Song: Camp Mulla – Wakati Wako
Sikiliza hapa ngoma mpya ya kundi la Camp Mulla la Kenya, ‘Wakati Wako’. Track hii imetolewa maalum kwa ajili ya Mashujaa Day iliyokuwa tarehe 20 October mwaka huu
[soundcloud url=”http://api.soundcloud.com/tracks/116244184″ iframe=”true” /]