Muziki
Song: Eminem Feat. Kendrick Lamar – Love Game
Sikiliza hapa ngoma mpya kutoka kwa rapa Eminem sasa ameamua kuachia kibao kingine kipya kiitwacho Love Game ambacho amamshirikisha rapa Kendrick Lamar.Baada ya kuachia kibao kipya hivi karibuni kiitwacho The Monster