Muziki
Song: Justin Bieber Feat. R. Kelly – ‘PYD’
Sikiliza hapa ngoma mpya kutoka kwa msanii mkali kutoka Canada, Justin Bieber akimshirikisha R.Kelly, iitwayo PYD. Kwa muda mrefu Justin Bieber alikuwa na hamu ya kufanya kazi na legend huyo wa R&B. PYD imetoka kwenye mfululizo wa utoaji wa nyimbo wa Justin kila Jumatatu, Music Mondays.
[soundcloud url=”https://api.soundcloud.com/tracks/120647117″ width=”100%” height=”166″ iframe=”true” /]