Burudani
Song: Kimbunga ft. Walter Chilambo – Hii Ni Kwa Madem
Wakati bado akiendelea kufanya vizuri na video ya ngoma yake, Natuma Salam, rapper Kimbunga ameachia wimbo mpya ‘Hii Kwa Madem’ aliomshirikisha mshindi wa BSS 2012, Walter Chilambo. Kwenye ngoma hii iliyotayarishwa kwenye studio mpya iitwayo Ruby Records, Kimbunga ameutambua na kuusherehekea mchango wa wanawake nchini. Usikilize hapa.