Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Song: Ladyfire Ft Jambo Squad – Kaka Kibo

Sikiliza hapa ngoma mpya kutoka kwa Ladyfire Mtoto wa Bibi anayelelewa na familia ya Jambo Squad baada ya kimya kirefu sasa anarudi tena na hapa anatambulisha ngoma yake inayoitwa Kaka Kibo round hii akiwa kitofauti zaidi na alivyozoeleka ili kutoa burudani na kuelimisha zaidi

Related Articles

Check Also

Close
Bongo5

FREE
VIEW