Muziki
Song: Maua Sama – Sijiwezi
Baada ya kuhit na wimbo wake wa kwanza, So Crazy, Maua Sama amerejea tena na wimbo mpya, Sijiwezi.
[soundcloud url=”http://api.soundcloud.com/tracks/114515965″ params=”” width=” 100%” height=”166″ iframe=”true” /]Sijiwezi umeandikwa na yeye mwenyewe Maua na kutayarishwa na producer E.M.A. the Boy wa Surround Studios.
Video ya wimbo huu itatoka mwishoni mwa mwaka huu na itaoangozwa na Nisher. Pia albam ya Maua itatoka mapema mwakani.