Muziki
Song: Nyashinski – Wanahepa
Sikiliza hapa ngoma mpya kutoka kwa rapper aliyekuwa akiunda kundi la “Kleptomaniax” lililokuwa likitamba miaka ya nyuma nchini Kenya, Nyashinski. Wimbo unaitwa ‘Wanahepa’.
[soundcloud url=”https://api.soundcloud.com/tracks/118485544″ width=”100%” height=”166″ iframe=”true” /]