Uncategorized

Song : Rashac – Kankaraga


Kundi jipya katika tasnia ya bongo fleva linalokwenda kwa jina la RASHAC, limeanza kuja juu kwa kasi ya ajabu.
Kundi hilo linalojumuishwa na wasichana watatu wanaofahamika kwa majina ya “REY”- Rehema, “SHACKY”- Shakira na “CABY”- Beatrice, ambao kwa sasa wameachia ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la “KANKARAGA”.
Mzigo huo ulirekodiwa katika studio za Sorround Sound chini ya Produzya Mahiri na Up coming one E.M.A the Boy

Download Here

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents