Muziki

Song: Rubadour – Nasomesha Bure

Sikiliza ngoma Mpya Kutoka kwa Trubadour inaitwa Nasomesha Bure, Ndani ya Track hii utapata kusikia mistari ambayo inawadiss na kuwalenga baadhi ya wasanii wakali wanaotamba katika chati za bongo, Baadhi ya wasanii waliotajwa katika track hii ni Dogo Janja, Jux, Young Killer, Young D, Stamina na wengineo

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents