Muziki
Song: Shosteez – Nifikirie
Hii ndo ngoma ya kundi la Shosteez limeamua kuachia ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la “NIFIKIRIE”.Ngoma hii imefanywa ndani ya Studio ya Fish Crab chini ya producer Lamar ambaye ni meneja wa kundi hilo.