Videos

Song/Video: Rahim f/ Amini – Nipende

Rahim ni msanii mpya wa Bongo Flava aliyepikwa na kusimamiwa na Amini wa THT. Ameachia wimbo wake wa kwanza uitwao, Nipende ulioandikwa na pia kumshirikisha Amini.

Hivi karibuni Amini alimleta Rahim Bongo5 na kufanya interview hii ya kumtambulisha.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents