Habari

Song/Video Teaser: Ude Ude – Ngoma inogile

Hii ndo ngoma mpya kutoka kwa Ude ude anajulikana zaidi kama muandishi mzuri wa ngoma ambazo zimeshawahi kufanya vizuri ngoma kama “WANGU” aliyoimba Lady jay dee sasa ameachia na yeye ngoma yake inayofahamika kama “NGOMA INOGILE” Video Launch yake inafanyika siku ya EID MOSI ndani ya CLUB BILLICANAS

UDE UDE FLYER

Video Teaser

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents