Habari

Soudy Brown, Shaffih Dauda na watuhumiwa wengine watinga Mahakamani Kininja (+video)

Soudy Brown, Michael Mlingwa, Shaffih Dauda na Maua Sama wametinga katika Mahakama ya Mkazi Kisutu kusikiliza maombi ya dhamana yao.

Soudy na Maua Sama wanashikiliwa na jeshi la polisi  kwa tuhuma za udhalilisha nembo ya taifa baada ya kusambaza clips za video zinazowaonyesha watu wakikanyaga hela ya Tanzania.

Watuhumiwa wengine wanashikiliwa na jeshi hilo kwa kosa la kuendesha mitandao ya kijamii blogs na YouTube bila kuwa na kibali cha serikali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents