Burudani
Spack: Sikukosana na Abdul Bonge bali ni watu wake
Spack amedai kuwa hakuwahi kukosana na marehemu Abdul Bonge licha ya kuondoka Tip Top Connection bali ni watu wake wengine waliokuwa kwenye uongozi wa kundi hilo.
Abdul Bonge aliyefariki Jumamosi iliyopita amezikwa jana kwao mkoani Morogoro.
Akiongea na Radio Citizen ya Kenya, Spack alidai kuwa Bonge hakuridhika kuondoka Tip Top. Mtazame hapo juu.