Habari

Spika Ndugai achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Maspika jumuiya ya Madola barani Afrika

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Maspika na viongozi wa Bunge katika nchi za Jumuiya ya Madola barani Afrika.

Soma taarifa kamili:


Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents